Thursday, September 27, 2012

JE FIESTA YA DAR ITAMLETA NANI KATI YA RICK ROSS, DRAKE, T.I NA SNOOP DOGGY?.......UNGANA NASI


Rick Ross
Drake
T.I
Snoop
Rick Ross, Drake, T.I na Snoop ndio majina yaliyotajwa leo hii kama fumbo la msanii mkubwa wa kimataifa atakaekuja Tanzania kwa ajili ya Fiesta 2012 ya Dar es salaam inayotegemewa kuchukua nafasi yake siku chache zijazo.

Hayo yamesikika kupitia campaign inayoendelea muda huu kuanzia asubuhi ya leo kupitia Clouds fm, inayohamasisha watu washiriki kubashiri ni msanii gani kati ya hawa atakae kuja kuperform katika Fiesta ya Dar.

Jibu la swali hili litatolewa kupitia XXL ya leo Sept 27, 2012 mishale ya saa tisa za alasiri. Fuatilia Clouds fm ili kama umeshiriki uweze kujua kama utakua umetoa jibu sahihi basi utakua kati ya washindi watakaojishindia tiketi ya kwenda kushuhudia show hiyo.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!