Friday, September 14, 2012

JE, WEWE NI DEMU MKALI NA UNA MVUTO? – USICHELEWE, DIAMOND ANAKUTAFUTA


Do you think you are beautiful/handsome, and sexy  na una uwezo wa kuwafanya watu washindwe kuhamisha macho yao mbele vioo vya TV zao?. Kama umebarikiwa hizo sifa then msanii anayetengeneza mkwanja mrefu zaidi kwa sasa hivi in Tzee music Industry Diamond Platinumz anakutafuta.

Siku ya tarehe 22 ya mwezi wa tisa kuanzia 5 asubuhi mpaka saa tisa katika mgahawa wa Lady Jay Dee – Nyumbani Lounge, Diamond Platnumz kwa kushirikiana na I-View Studios watakuwa wanafanya Audition ya kutafuta vijana wa kiume na wa kike wenye mvuto, wawe wenye kujua kucheza, smart kwa ajili ya kutokea kwenye video mpya za Diamond atakayofanya na msanii mkubwa wa kimataifa hivi karibuni.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!