Monday, September 10, 2012

JINI KABULA ATISHIA KUINGIA JELA KISA PENZI LA BUSHOKESIKU chache baada ya kuunadi ujauzito wake kwenye ‘midia’, mwigizaji wa Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amedai kuwa yupo tayari kwenda selo kama mtu ataingilia penzi lake.


Jini Kabula amefunguka kuwa anampenda mpenzi wake Bushoke hivyo kuwaonya wasichana wa mjini wasithubutu kuingilia penzi lake kwani atawafanyia kitu kibaya akaozee jela.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!