Thursday, September 27, 2012

"GAZETI LA AMANI LIMENICHAFUA..MIMI SINA MPANGO WA KUMUOA LULU MICHAEL"....CHARLES BABA

 MSANII NGULI wa muziki wa dansi ambae pia ndio RASI WA MASHUJAA BAND, CHALZ BABA KINGUNGE a.k.a FERNANDO TORESS amesema ameshangazwa na kilichoandikwa leo na gazeto moja la udaku la amani eti kua anataka kumuoa lulu na tayari ameshakwenda kwa mzee michael kuongea nae na kusema habri hizo ni za uongo na za upotoshaji ila kwa kuwa wameamua kuandika sawa

    
Nilipo muuliza hatua gani atachukua baada ya kuona habari hii ya uongo akasema hayo yote anamuachia mungu coz gazeti ni la leo na litapita na litaenda watakua wamefurahisha nafsi zao tu lakini imemuuma sana kwa hili.


LAKINI nilipomuuliza kuwa hii ni mara ya pili anaandikwa gazetini kuhusiana na hili huku ya kwanza ikiwa ni kuhusina na kukamatwa kwake kutokana na KIFO CHA KANUMBA akasema yote wanaoyoandika hayana ukweli na kusema LULU ni rafiki ake wa kawaida tu na wala hawana mazoea hayo


NISIKUCHOSHE  MSOMAJI  WANGU.....MSIKILIZE  CHALZ  BABA  HAPO  CHINI


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!