Friday, September 28, 2012

LEO WEMA SEPETU AMETIMIZA MIAKA 22 TANGU AZALIWE NA HUU NDO UJUMBE WA DIAMOND KWA WEMA


.
.“Siku kama ya leo Mrs Abraham sepetu alipata bahati ya kujifungua mtoto wa kike ambae ni Wema abraham sepetu, na siku hii ya leo ya tarehe 28/09/ ametimiza miaka 22.

Kiukweli nina furaha sana na kila sababu ya kusema happy birthday toto lake ‘nakutakia kila lakheri kwenye maisha yako’….

 Ingawa kuwa hatuna mahusiano tena ya kimapenzi ila bado anaumuhimu mkumbwa sana kwangu coz amechangia kwa asilimia fulani mimi kufika hapa nilipo na hadi sasa tunashirikiana vizuri kwenye kazi za sanaa na nje ya sanaa…. Enjoy ur day”.......DIAMOND

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!