Thursday, September 6, 2012

LINAH AFANYA MAHOJIANO NA "SPORAH SHOW " NCHINI UINGEREZA


Diva wa kike Linah Sanga ambaye kwa sasa yupo nchini Uingereza jana amefanya mahojiano katika kipindi pendwa cha TV kwa wana Afrika Mashariki waishio nje ya nchi “The Sporah Show” ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa uwepo wake katika nchi ya hiyo kabla ya shoo zinazotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!