Monday, September 3, 2012

" MALAYA WA UKWELI".......JE NI SAHIHI KULITUMIA NENO HILO KWA MPENZI WAKO??..KANYE WEST ALIJITIA KITANZI NA HIVI SASA ANAHAHA


Hivi karibuni Kanye West aliachia ngoma iitwayo ‘Perfect Bitch’ ambayo anasema alimwandikia mpenzi wake Kim Kardashian.

 Lakini ni sahihi kumuita mpenzi wako bitch?
Kwa tafsiri ya kibongo neno hilo ni sawa na kumuita msichana ‘malaya’. Unaweza kumuita mpenzi wako ‘Malaya wa Ukweli’? Sio sahihi.

Wanamuziki wa Marekani hulitumia sana neno hilo na sasa Kanye West ambaye si mtu wa kutweet sana, aliamua kuutumia muda wake wa dhahabu kuwauliza mashabiki wake kama ni sahihi kwa wanamuziki wa Hip Hop kutumia neno hilo.

Huenda Kanye yupo kwenye mgongano wa mawazo ndani yake iwapo alikuwa sahihi ama alikosea kumuita hivyo Kim, Labda Kim alichukia? You never know!
Hivi ndivyo alivyoanza kuuliza maswali na kuzungumzia neno hilo:
I usually never tweet questions butI struggle with this so here goes…Is the word BITCH acceptable?
— Kanye West (@kanyewest) September 2, 2012
To be more specific, is it acceptable for a man to call a woman a bitch even if it’s endearing?
— Kanye West (@kanyewest) September 2, 2012
Has hip hop conditioned us to accept this word?Do we love this word as much as we love the word NIGGA in an endearing way?
— Kanye West (@kanyewest) September 2, 2012
correction,Here’s the age old question,would we refer to our mothers as bitches? Would’ we call our fathers niggers or better yet NIGGAS?
— Kanye West (@kanyewest) September 2, 2012
If nigga is such a positive word, why do we feel so uncomfortable for white people to say it, even with a hall pass?
— Kanye West (@kanyewest) September 2, 2012
Is it ok to use bitch as long as we put BAD in front of it?Likeyou a BAD BITCH
— Kanye West (@kanyewest) September 2, 2012
Perhaps the words BITCH and NIGGA are now neither positive or negative. They are just potent and it depends on how the are used and by whom?
— Kanye West (@kanyewest) September 2, 2012
I was recently questioned about the use of the word BITCH in my music and initiallywas offended by anyone questioning anything in my music
— Kanye West (@kanyewest) September 2, 2012
I will admit that I sometimes go back an omit cursing from my records.I like to use profanity as a tool and not a crutch.
— Kanye West (@kanyewest) September 2, 2012
I’m not tweeting to say what we need and what we don’t… I just wanted to think out loud with you guys today…
— Kanye West (@kanyewest) September 2, 2012
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!