Sunday, September 9, 2012

MAPENZI YAMEMFANYA IRENE UWOYA AKONGOROKE NA KUPOTEZA UMAARUFU WAKE

 
 IRENE  UWOYA  WA  SASA

UWOYA WA  ENZI  ZILEEE
 
Kashkash za  mapenzi na  kuyumba  kwa  hali ya  kimaisha  vinadaiwa  kuwa  sababu kuu zilizomfanya  Irene  Uwoya  akongoroke  na kumaliza mvuto......

Uwoya  ambaye  alikuwa ni miongoni mwa  mastaa  wenye majina  makubwa  hapa  nchini  amejikuta akipoteza umaarufu  kila  kukicha  kwa  kipindi  cha  mwaka  mzima  sasa......

Hali  hii ilimkumba  baada  ya  kuivunja ndoa  yake na Ndikumana.Maneno  ya  marafiki  zake  na ushauri mbovu   ni miongoni  mwa vitu vilivyoitafuna  ndoa yake.

Tangu  wakati ule, hali yake ya  kimaisha imeyumba na  kumfanya  Uwoya  apoteza umaarufu  hasa ukilinganisha na  umaarufu aliokuwa  nao  kipindi cha nyuma......

Hata  hivyo kuna tetesi  zilizagaa  kuwa  Uwoya  alikuwa  akimsaliti Mumewe  kwa  kutoka  na msanii mwenzie Dude, hali iliyomkera  Ndiku  na kuamua  kuivunja ndoa  hiyo

Nafikiri huu  ni  wakati mwafaka  kwa Irene Uwoya  kujifunza  kutokana  na  makosa.....Siku  zote,  usaliti  ni  adui  mkubwa  wa  ndoa  ya mtu....Hili ni  fundisho  letu sote
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!