Saturday, September 1, 2012

MARTIN KADINDA AFANYA VIZURI MAREKANI.....VIBUNDUKI VYAKE VYAGOMBANIWA


Martin Kadinda akiwa na Vanessa Mdee


Unataka kumfahamu mbunifu mpya wa mavazi anayekimbiza nchini. The name is Martin Kadinda. Kijana ana make headline sasa hivi na ameshaaza kuvuka border. Jana amepiga fashion show pande za New York, Marekani.


"Naomba nilale baada ya kumaliza timbwili la leo... nimeimiliki hii show.. it feels like it was my own show.....First face for my collection was Millen Magese and the show stopper was UTi wa BBA.... more updates nikiamka," ameandika Kadinda.
Huyu jamaa wa kushoto naona aliamua kuonesha v***i lake nje!!
"Kimetimka zaidi ya kivumbi collection here in New York........them Monsters........... it was more than a fashion show....Vibunduki Vyote hivyo vimeuzwa hapo hapo na wadada ndo wamevinunua wasije wakawa wamewanunua na models wangu bure."
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!