Wednesday, September 5, 2012

MASHAIRI YA JAY- Z NA BEYONCE YASAIDIA KUIMARISHA PENZI LA PREZZO NA GOLDIEDrama ya Prezzo na Goldie imechukua sura mpya kwenye Twitter baada ya wapenzi hao wa BBA kujibizana kwa mistari ya Jay-Z na Beyonce.

Prezzo aliandika "Cuz that rock on ur fingeer’s like a tumour u cant fit your hand in ur new purse/its humorous to me they watching n we just yatchin" yakiwa ni mashairi ya Jay-Z kwenye ngoma ya Beyonce iitwayo Upgrade U.

Goldie alijibu kwa mashairi ya Beyonce kwenye wimbo huo huo, "You need a real woman in your life, taking care of home and still fly, I can help you build ur account, that’s a good look believe me."

Wanataka kujifananisha na Jay na Bey?

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!