Tuesday, September 11, 2012

MOVIE 20 ZA AFRICAN AMERICANS AMBAZO NI MUHIMU UKAZIONA

Mimi ni mpenzi wa filamu.Zaidi napenda filamu ambazo zina hadithi kali kali na ambazo zinakwenda sambamba kabisa na ukweli au hali halisi kama sio ukweli kabisa yaani True Stories.

Kwa sababu moja au nyingine,nimekuja kugundua kwamba napenda zaidi movie zinazotoka barani Africa(nyumbani ni nyumbani) lakini pia napenda movies za African Americans kutoka nchini Marekani miongoni mwa wamarekani weusi. 

Hizi hapa ni movies ambazo binafsi nimeziona na ninazo kwenye collection yangu na mara kwa mara hupenda kuzirudia.Siazimishi hizi maana ukiazimisha,story zitaanza; Je, unazo titles zozote ambazo ungependa kuongeza katika orodha hii? Kwenye maoni plz

1.The Color Purple
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
2. Glory
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
3. Roots
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
4. Lean On Me
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
5. Menace II Society
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
6. Hallelujah!
7. Carmen Jones
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
8. Soul Food
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
9. Malcolm X
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
10. Amistad
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
11. Do The Right Thing
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
12. Love Jones
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
13. Boyz N The Hood
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
14. The Best Man
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
15.  Coming to America
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
16. A Raisin In The Sun
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
17. Cooley High
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
18. Pride
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
19. Waiting To Exhale
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
20. Why Did I Get Married?
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!