Wednesday, September 26, 2012

PICHA ZA UFUNGUZI WA MJENGO WA EPIQ BONGO STAR SEARCHMadam Ritha akikata utepe katika uzinduzi rasmi wa EBSS House jana jioni.


Madam Ritha, Chief Judge akifungua mlango wa EBSS house rasmi baada ya sherehe ya uzinduzi kuanza.


Madam Ritha akiwatembeza viongozi wa Zantel ndani ya nyumba.


Madam Ritha akiwaonyesha wageni nyumba (Uongozi wa Zantel).


Washiriki walioingia Top 12 kwa pamoja wakiwakaribisha wageni baada ya mlango kufunguliwa.


Baadhi ya washiriki walioingia Top 12 wakiwa wamepozi ukumbini.


Top 12 na uongozi wa Zantel kwa pamoja. Kila mshiriki alizawadiwa Samsung Galaxy kutoka Zantel hapo jana katika sherehee hiyo.


Mshiriki Salma Yusuph akipokea simu kutoka kwa Sajid Khan, COO wa Zantel.


Mshiriki Menynah Atiki akionyesha simu aliyozawadiwa na uongozi wa Zantel.


Norman Severino akiwa juu ya stage tayari kuwapa burudani wageni waalikwa.


Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika sherehe.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!