Saturday, September 15, 2012

PIPI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

Msanii anayetamba na video yake mpya inayoitwa UNAPOKUWA MBALI hapa namzungumzia PIPI jana usiku alijifungua mtoto wa kiume na kumpa jina la KINGSTONE
 
Wakati nachat nae  akiwa hospital aliniambia anajisikia mtu mwenye furaha sana kwa sababu kwa sasa anaitwa MAMA. 

Na nilipopita kwenye ukurasa wake wa Facebook nilikuta kaandika maneno haya nayanukuu
14th of September 2012 is the happiest day of my life so far. . .wat a gorgeous

Picha ya mtoto nitatumiwa soon atakaporudi nyumbani
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!