Friday, September 14, 2012

REDSAN AUNGANA NA PREZZO NA JAGUAR KUMPIGIA CAMPAIGN WAZIRI MKUU ODINGA


Redsan.
Unakumbuka picha ambazo zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii last week zilizokuwa zikimuonesha Raila Odinga ambaye ni Waziri Mkuu wa Kenya akiwa na Redsan ambaye ni dancehall sensation?.

Well, details za meeting yao zimegundulika.
Redsan ni msanii mwingine kuwekwa wazi kumpigia campaign Odinga. Redsan atakuwa na kazi ya kuwaomba facebookers na tweeps kumpigia kura Waziri Mkuu huyo kwenye chaguzi zijazo.
Redsan anaungana na Prezzo na Jaguar kum-support Odinga.
Who is next?
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!