Thursday, September 27, 2012

RICK ROSS NDO MSANII ATAKAYE PERFORM KATIKA FIESTA YA DAR ES SALAAMRick Ross

It’s confirmed kuwa the big boss wa Maybach Music Group, Rick Ross ndiye atakayetua kwenye Fiesta ya Dar es Salaam.

Taarifa hizo zimetolewa live muda mfupi uliopita kupitia Clouds FM. Rick Ross atatua Bongo kwaajili ya show hiyo itakayofanyika October 6. 

Tayari rapper huyo amesharekodi sauti yake inayosema kuwa tayari ni official kuwa atatua Tanzania kwaajili ya show hiyo kubwa ya mwaka.

Hivi karibuni Rick Rosss alikuwa nchini Nigeria hivyo tayari ni mwenyeji wa bara la Africa.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!