Monday, September 10, 2012

RIHANNA AMKUMBUKA BUIBI YAKE KWA KUJICHORA TATOO MPYAHii ndio Tatoo ya Rihanna ambayo ni  kumbukumbu kwa Marehemu Bibi yake.

Kama tunavyojua mwezi wa saba Rihanna alimpoteza Bibi yake Kipenzi baada ya kufariki dunia. Wakati wa ziara yake ya Jijini London, the “We Found Love” hitmaker paid tribute kwa bibi yake huyo kwa kuchora tatoo ya Isis kwenye mbavu zake { rib cage}.

“Goddess Isis- Complete Woman – Model for future generations- #GRANGRANDOLLY – always in and on my heart #1lo”, alitweet  Rihanna,  ambaye alikuwa na mahusiano ya ukaribu na Bibi yake huyo , whom she affectionately called “Gran Gran Dolly.”

Kama ulikua hujui Isis ni  Egyptian goddess known as the ideal mother and wife as well as the patron of nature and magic.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!