Wednesday, September 26, 2012

RIHANNA AMTUMIA CHRIS BROWN SPECIAL MASSAGE KABLA YA KWENDA MAHAKAMANI


Rihanna.
Kama unakumbukumbu Chris Brown alishtakiwa kwa kumpiga Rihanna mwaka 2009,na kutokana na kosa ilo alitakiwa kufanya kazi za kijamii kwa kipindi cha miezi sita. 

Siku ya Jumatatu Chris alipandishwa kizimbani kutoa nyaraka za kuwa ameshamaliza adhabu aliyopewa ya kuihudumia jamii kwa kipindi cha miezi sita.


Wakati bado wengi wanajiuliza mambo aliyofanya Chris Brown kwa miaka mitatu iliyopita, but masaa machache kabla ya kuingia mahakamani, Ex- girlfriend wa Chris Brown, Rihanna alitweet directly massage kwa Chris akisema:
Chris akuchukua muda alijibu hivi:
Baada ya Chris kujibu, Rihanna alituma massage ya jumla ikisema hivi:

Na kama tunavyokumbuka week kadhaa zilizopita Rihanna alimwambia Oprah kuwa bado anampenda Chris kupitia kipindi chake cha next chapter , na sasa yamejitokeza haya, Isn’t it time for them to just get back together?!.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!