Sunday, September 30, 2012

"NATAMANI SANA KUWA FREEMASON LAKINI SINA MTU WA KUNIUNGANISHA"....AUNT EZEKIELPamoja  na mambo mengi tuliyoongea  na shilole  na  Aunt  Ezekiel lakini tuliona  si vibaya  tukijua misimamo yao juu  ya dini ya freemason.....

Wa kwanza kuumuliza alikuwa ni Shilole.Yeye  alikana kabisa kuwa  hana mpango  wa  kuwa  freemason.......

Kwa  upande wa Aunt Ezekiel hali ilkuwa  tofauti kidogo.Yeye  alidai  kuwa  kwa muda  mrefu  sasa amekuwa akifikiria  jinsi  ya  kujiunga  na freemason  lakini  bahati mbaya  hajapata  mtu wa kumuingiza  kwenye  channel hiyo  ya  mafreemason......


Aunt  anadai kuwa endapo  atafanikiwa  kuwa freemason na kuwa  na  pesa za  kutosha, basi atajikita zaidi katika  utoaji wa  misaada mbali mbali   hasa kwa watu wenye  uhitaji huo......


Nisikuchoshe msomaji   wa   mtandao huu, hiyo  hapo chini ndo video inayoonesha  jinsi Aunt  Ezekiel  akifafanua juu ya lengo lake la kuwa freemason
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!