Monday, September 17, 2012

SHILOLE AGWAYA KUMTAMBULISHA MPENZI WAKE KISA KIKIWA NI KUHOFIWA KUPORWA....!!!


STAA wa filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameiambia Mpekuzi  kuwa anaogopa kumtambulisha kwa mashosti zake bwana’ke aliyenaye kwa sasa akihofia kuporwa.

Shilole anayedaiwa kunasa kwenye penzi la mtangazaji, alisema kuwa anaogopa kumweka hadharani kwani kuna baadhi ya wasichana wa mjini wakishamjua mwanaume wa mtu, huwa wanamnyemelea na kumnasa kirahisi, jambo ambalo hataki limtokee.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!