Monday, September 10, 2012

SINTAH NDO MENEJA WA CHIDY BENZ KWA SASA


List ya managers wanaowasimamia wasanii wa bongo flava inazidi kuongezeka baada ya Sintah kutagaza kum-sign Chidy Beenz kuwa chini yake.

Hatujui deal hilo lina thamani ya kiasi gani lakini inaonekana kama Chidy ameamua kutumia experience aliyoko nayo Sintah pamoja na elimu yake ili ku-boost his public image na mziki wake pia.

‘Education is power and that is why Chidy kawaacha wote na kunitafuta mimi, sasa mambo ndo yameanza“, alihollar Sintah ambapo Chidi Beenz chini ya usimamizi wake atafanya show ya kwanza at New Maisha Club on 30 September.

Aliongeza kuwa Chidi Benz will be dressed by Kidoti Fashion which is owned by Jokate ambaye ndiye anayewavalisha maceleb kibao kwa sasa hapa nchini.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!