Sunday, September 9, 2012

STAA WA LEO: RIHANNA AJA NA MTINDO MPYA WA NYWELE


Muonekano mpya wa Rihanna alipokuwa anawasili kwenye rehersal za VMA zilizofanyika juzi usiku kwa saa za Marekani.
Rihanna akitumbuiza stejini wakati wa tamasha la tuzo za video bora za muziki  la MTV Video Music Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los Angeles, California jana usiku Septemba 6, 2012. 

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!