Friday, September 7, 2012

TAHADHARI: USIMPENDE MWANAMKE KWA MAUMBILE YAKE BALI MPENDE KWA TABIA YAKE MAANA HAIBADILIKI

Ambao Hamjaoa Kuweni Makini na Msitishwe na Maumbo. Mpende Mwanamke kwa Sababu ya Tabia Yake Kwani Maumbo Huweza Kubadilika. Kama Unabisha Mtazame Nakaaya Sumari Alivyobadilika....Enzi Zileeeee....


And Then Now....


Kama ulioa kwa ajili ya umbo basi huu unaweza kuwa ndo mwanzo wa kuanza kuhangaika. Maumbo yanaweza kubadilika kutokana na ajali, ugumu wa maisha, magonjwa au kunenepeana tu lakini tabia ya mtu mara nyingi huwa haibadiliki. Kama umebahatika kupata mwanamke mwenye upendo, ubinadamu, huruma na roho njema, mtunze na kumuenzi kama mboni ya macho yako hata kama akiwa amebadilika kiumbo !!!
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!