Saturday, September 29, 2012

TUNAKARIBISHA MATANGAZO KWA BEI NAFUU


Uongozi  wa mtandao huu unayofuraha kubwa kuwajulisha  wasomaji wake  kuwa  hivi  sasa  umefungua  milango kwa  ajili  ya  matangazo  ya  ndani.

Tumekuwa tukifanya external  advertisement kwa muda mrefu  na  sasa tumeona ni vema tukawakaribisha na  watanzania  wenzetu.

Kwa siku  tunapata  unique  visitors kuanzia   25,000 mpaka  48,000.Naamini hakuna mtu  yeyote atakayejuta kutangaza biashara yake........

Hii  ni kutokana na ukweli kwamba  tangazo  hilo litawafikia  watu  wengi zaidi  ndani ya  muda mfupi......

KAMA UNATANGAZO, BASI TUNAOMBA  UIJAZE  FORM HIYO HAPO CHINI


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!