Saturday, September 15, 2012

TUNDAMAN AJIPANGA KUFANYA VIDEO NAIROBI


Nyota wa Muziki wa Bongo flava Nchini kwa jina la Khalid Ramadhani alias Tundaman hivi karibuni anatarajia kufanya video ya nyimbo yake mpya na Ogopa Video Production toka pande za Kenya. 

Msani huyu  anasema kwamba kwa sasa anachotaka ni kufanya muonekano mpya wa kazi zake kuanzia audio mpaka video dat why ameamua video yake mpya akaifanyie pande za Nairobi.

Msanii huyu ambaye ni Captain wa kundi la Tip Top Connection anafunguka zaidi kuwa ngoma hiyo ambayo anatarajia kufanya video na Ogapa production toka Kenya  amemshirikisha mkali toka TMK Wanaume Family Chegge itakayojulikana kwa jina la “Wanaona Haya“.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!