Tuesday, September 25, 2012

USAILI WA MAISHA PLUS 2012 DAR WAVUNJA REKODI......


Zile auditions za reality show ya Maisha Plus 2012 ambayo tayari imeanza kuruka kupitia TBC1 kila siku kuanzia saa 4 usiku, zimefanyika jana pale Millenium Tower.

Hivi ndivyo watu walivyojitokeza kwa wingi katika auditions hizo. Waandaaji wanasema walitarajia kupata washiriki wengi lakini hawakutegemea wangekuwa wengi kiasi hiki hivyo idadi hii kubwa ya waliojitokeza hapo jana imevunja rekodi.


Leo ni siku ya pili ya auditions hizo ambazo zilipangwa kufanyika kwa siku mbili.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!