Saturday, September 22, 2012

USAJILI WA MWISHO WA MAISHA PLUS UTAFANYIKA JUMATATU SEPTEMBA 24


Nafasi ya mwisho ya kuaudition kwa ajili ya kushiriki shindano la Maisha Plus  itafanyika jijini Dar es Salaam siku ya Jumatatu, Septemba 24 pale Millenium Tower, Kijitonyama.
Wale waliochukua fomu na ambao bado hawajachukua, wafike Millenium Tower ghorofa ya kwanza waulizie KP Shop.

Kwa wale wenye ndoto ya kushiriki katika shindano hili mwaka huu, Jumatatu ndio itakuwa siku ya mwisho kujaribu bahati yao kwani ukiikosa itabidi usubiri mpaka mwakani.

Kwa wapenzi wa shindano hili stay glued to TBC1 kwasababu soon burudani itakufuata sebuleni kwako.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!