Tuesday, September 11, 2012

VIDEO: Stella Mwangi (STL) - STELLA STELLA STELLA


Stella Mwangi (STL)
"Stella Stella Stella boom boom pow", ndio maneno yanayosikika kwa kujirudia katika chorus ya wimbo unaoitwa STELLA STELLA STELLA wa Rapper, muimbaji na muandishi wa kike kutoka Kenya Stella Nyambura Mwangi au stage name STL.

Ame release video yake mpya ya wimbo huo ambayo imefanyika nchini Kenya. STL kwa sasa makazi yake ni nchini Norway ambako yeye pamoja na familia yake walihamia toka mwaka 1991. Itazame video hiyo hapo chini.


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!