Wednesday, September 5, 2012

VITUKO: NICK MINAJ ADAI KUWA YEYE NI BIKRA

Hiphop star Nicki Minaj naona this time ameamua kutoa kauli ambayo imepata comments nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii baada ya mtandao wa Urban daily kumnukuu.

Onika Maraj a.k.a Nicki Minaj ambae kwenye historia hatosahau jinsi baba yake alipowahi kujaribu kumuua mkewe kwa kumchomea ndani ya nyumba amesema  kwamba bado yeye ni bikra yani hajawahi kujihusisha kimapenzi na mwanaume toka azaliwe.


Inajulikana kwamba Boyfriend wake anaitwa Safari, maswali mengi watu wanayouliza ni kwamba siku zote amekua na huyo boyfriend wamekua wakiishi kama kaka na dada tu? inawezekana kweli mrembo kama Nicki Minaj akawa bikra?


Nicki Minaj na boyfriend wake.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!