Sunday, September 2, 2012

VITUKO VYA WASANII WETU: "NIPO TAYARI KUPUNGUA TUMBO ILA SIYO MAKALIO YANGU"....BUPE KIJO

Sikuamini macho yangu nilipomkuta  msanii  wetu  akiyanadi makalio yake   mtandaoni........Hawa ndo  vioo  vya  jamii  eti.....

***********************************************************

NI MCHINA AU?
“Siyo Mchina, nimayarithi kwa mama yangu mzazi, ni mnene kama nilivyo mimi.”

USUMBUFU ANAOKUTANA NAO
“Si unajua wanaume wengi wanavyodata wanapoona wanawake waliojazia, usumbufu wao kwangu ni mkubwa sana kwa kweli.”

ANAJIKUBALI
“Mimi natamani kupungua tumbo tu lakini siyo makalio kwa sababu haya ndiyo yanawavutia watu, nikipungua nitakosa mvuto.”

KUHUSU MAVAZI YAKE
“Huwa napenda kuvaa nguo fupi kama sketi na gauni kwa sababu mguu wangu ni wa bia halafu ni mzuri na unavutia.”

SAIZI YA NGUO ZA NDANI
“Kwa kweli saizi ninayovaa sijui na ni mara chache sana navaa kutokana na umbile langu na hali ya joto la Dar.==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!