Friday, September 14, 2012

VODACOM: WASHINDI WA BAHATI NASIBU WA KAMPENI YA MOYO WAKABIDHIWA ZAWADI


Meneja Mawasiliano wa shirika la ndege la Precision Annette Nkini (wa pili toka kushoto),akimkabidhi Sarah Nadhan Mwanjelele,tiketi ya kwenda Afrika Kusini aliyoipokea kwa niaba ya mume wake Lusako Mwanjejele aliyoshinda katika  bahati nasibu ya kampeni ya MOYO iliyoendeshwa na wafanyakazi wa Idara ya Masoko ya Vodacom na Precision Air mapema mwaka huu kwa ajili ya matibabu ya wakina mama walioadhirika kwa ugonjwa wa fistula,wanaoshuhudia kushoto ni Elizabeth Mtegwa na kulia ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu.Baadhi ya washindi wa tiketi ya kwenda Afrika Kusini waliyoshinda katika  bahati nasibu ya kampeni ya MOYO iliyoendeshwa  na wafanyakazi wa Idara ya Masoko ya Vodacom na Precision Air mapema mwaka huu,wakiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja Masoko wa shirika la ndege la Precision Linda Chiza wapili toka kushoto,Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!