Friday, September 14, 2012

VYONNE MWALE ( WA KWENYE SIHITAJI MARAFIKI YA FID Q) AMEACHIA VIDEO MPYA


Yvonne Mwale

Yvonne Mwale ni mwimbaji kutoka nchini Zambia ambaye amefanya vizuri sana kupitia wimbo wa Sihitaji marafiki alioshirikishwa na Fid Q. 

Hii ni video mpya ya wimbo wake aliouimba kwa lugha ya Kiswahili kati ya nyimbo zake, unaoitwa “Familia Yangu” ikiwa ni single yake ya pili kutoka katika album yake inayoitwa “Kamalatika” iliyorekodiwa chini ya Caravan Records ambayo tayari ipo sokoni. Itazame video mpya ya Yvonne Mwale hapo chini.


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!