Friday, September 14, 2012

WAISLAMU WAUFYATA KUMG'OA MUFTI WA TANZANIA


 Askari wa Kikosi cha Polisi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa kwenye gari wakifanya doria Dar es Salaam leo, baada ya kuwepo njama ya baadhi ya Waislamu kuandamana kutaka kumg'oa madarakani Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba.
Baadhi ya waislamu wakiwa nje ya msikiti wa Mtambani, Kinondoni, Dar es Salaam baada ya kuswali  leo
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!