Monday, September 10, 2012

"NAWAPENDA WANAUME MASHOGA KWA SABABU HUNIPUNGUZIA USHINDANI WA KUPATA DEMU".....NGWAIR


Albert Mangwea haoni shida kuona wanaume mashoga kwasababu anaamini wanampunguzia ushindani wa kupata mademu.
 
 Lakini anasema tatizo ni kwa wanawake wasagaji ambao mjini wanaendelea kuwa wengi. Hata hivyo ana plan kichwani nayo si nyingine zaidi ya kuwatandika mimba wote! Really Ngwair?
Gay brothers nawakubali coz wanatupunguzia competition but yo lesboz punguzeni mzuka la sivyo tunawapa mimba woooote mtulie na kids tunaepa
— Ngwair (@albertkenneth) September 10, 2012
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!