Wednesday, September 12, 2012

"WABONGO WENGI HUVUTIWA NA MAKALIO NA MATITI MAKUBWA, HIVYO NAAMINI NITAWANASA WENGI"......BABY MADAHA


 

KATIKA kusaka mvuto wa kimahaba, msanii wa filamu na muziki, Baby Madaha ameamua kuongeza ukubwa wa matiti yake.

Akipekuliwa  na  mpekuzi wetu jijini Dar es Salaam, Baby alisema amefikia uamuzi huo kwa sababu wanaume huvutiwa zaidi na matiti na makalio makubwa.


“Najua Wabongo wanaweza kushangazwa na uamuzi wangu, lakini ni mambo ya kawaida kabisa kutafuta mvuto wa mahaba kwa wanaume  wanaopenda  matiti  na  makalio  makubwa. Nimeanza na matiti, baadaye nitakwenda a makalio,” alisema.


Alipotakiwa kutaja hospitali aliyofanya upasuaji huo alijibu kwa kifipi: “Ni siri, siwezi kuitaja ila iko Nairobi (Kenya).”
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!