Wednesday, October 10, 2012

BAADA YA KUWAVUNJA MIGUU WANAWAKE SASA NI WAKATI WA KUWAFUNGA ZIPU KICHWANI

SASA  TUNAHITIMISHA  KWA  KUWAFUNGA  ZIPU MPENDE  EEH!!!! Miaka ya sasa tumeshuhudia ubunifu wa hali ya juu katika soko la mitindo na ubunifu,.Nchi za mbele  wamekuwa wakiumiza vichwa kutengeneza viatu vya ajabu kutokea duniani.

Kiatu ambacho kinakimbiza hivi sasa ni kile chenye visigino viwili kiitwacho  "Scary Beautiful" (pichani juu) kinatajwa kuwa ni kiatu cha ajabu kuliko vyote vilivyopata kutokea kwenye soko la ubunifu"Scary Beautiful" kiatu kilicholeta mapinduzi ndani ya soko la mitindo, Kazi kwenu akina dada


------------------------------------------------------------------------------

SASA  TUNAHITIMISHA  KWA  KUWAFUNGA  ZIPU MPENDE  EEH!!!!


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!