Tuesday, October 30, 2012

COLLABO YA AY NA SEAN KINGSTONE YAKAMILIKAIle ya collabo ya AY na Sean Kingston iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu hatimaye imekamilika.

Taarifa hiyo imetolewa leo kupitia Twitter na promoter wa kimataifa Hemdee Kiwanuka ambaye kampuni yake ya networkshowbizz husimamia kazi za AY.

Msanii wa nchini Uingereza Ms Triniti ambaye alishawahi kufanya collabo na AY, ataonekana kwenye video ya ngoma ingawa hajashirikishwa kama inavyoonekana kwenye tweets hizi:

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!