Sunday, October 21, 2012

CYNTHIA MASASI APATA "JIKO"Mr and Mrs Mziray
Jana ilikuwa ni siku mpya kwa former video vixen/model, Cynthia Masasi aliyefunga ndoa na Richard Mziray. Baada ya kubadilisha status na kuwa Mrs Mziray, mrembo huyo ana ujumbe huu mfupi:

“Aaaaaaaaaaw im the luckiest woman in the whole world! Thank u all for the lovely msgs I AM NOW MARRIED to my Best Friend, The man of my dream! Thank GOD for everything! So i have to make this CLEAR. Cynthia Masasi-Mziray is SAFE & SOUND! I have not been in jail for one sec LEO, Sasa napigiwa simu back2back kwamba kuna watu wanasema wameniweka ndani na wanafuraha sana! To clear things up ni kwamba niko home na nina bbq na wakwe walikuwa wananikabidhi jiko “Kimila za Kipare” So jela sijapelekwa na dada yeyote naona wameona wajipe promo kidogo! 

Harusi yangu IMEWACHANGANYAA huo ndio ukweli! So thanks to yall for ur calls msgs and ur concerned abt my safety! NIKO POA BALAA NA MUME NIMPENDAE MPAKA KUFAAA! LOVE YALL MY TRUE PPL..”
 
Kitu cha chopper kikiwasubiri maharusi
Congrats Cynthia
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!