Saturday, October 6, 2012

HABARI ZA FIESTA USIKU HUU NDANI YA LEADERZ CLUB

Hapo kwa  Benny Kinyaiya na Shadee.......?

Hapa ndipo shughuli itapigwa....

Mchaina wa Clouds Tv akiwa na brozee wa Club 10.

Engo....

Wakali kutoka himaya yetu wote wamemiminika hapa kwa ajili ya kufanya majaribio.

Mmmmmh...!

Ni Shilole, Inspector Haroon na Baby Madaha... Chege yuleeeeee!!!

Ni Baby Madaha, Mchaina na Keysher.
Ze stage usiku huu..

Bado tupo.....
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!