Sunday, October 7, 2012

HAPPY BIRTHDAY MH. RAIS KIKWETETarehe kama ya leo (October, 7) ni siku aliyozaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete. 

Mpekuzi  inaungana na maelfu ya wananchi waliomtakia maisha mema na wanaondelea kumpongeza kwa siku hii. Sisi tunamtakia maisha marefu na Mungu amjalie kuliongoza vema taifa letu. 

Kupitia Twitter, Mheshimiwa Kikwete amewashukuru wote wanaoendelea kumtakia birthday njema.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!