Friday, October 5, 2012

HAPPY BIRTHDAY MISS TANZANIA 2011, SALHA IZRAEL

Miss  tanzani 2011
LEO ni siku ya kuzaliwa kwa Miss Tanzania 2011, Salha Izrael. Mrembo huyu kutoka Kanda ya Ilala aliyenyakua taji la Vodacom Miss Tanzania mwaka 2011 leo anatimiza miaka kadhaa. 
 
Mtandao huu na wadau wote wa tasnia ya Urembo nchini wanamtakia kila la Heri katika maisha yake
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!