Tuesday, October 9, 2012

HII NDO MIXTAPE YA RICK ROSS YENYE NYIMBO 18....DOWNLOAD BURERozay ambaye jumamosi aliweza kukisanua jijini Dar Es Salaam kwenye Concert ya Fiesta iliyofanyika Leaders Club ameachia his official mixtape iitwayo The Black Bar Mitzvah huku akiwa amefanya collabo na wasanii kama Drake, Gunplay, Lil Reese, 2 Chainz, Pharrell, Diddy na wengine wengi toka pande za area code 1.

Downloud hapa chini:

 Hizi ndizo Track List za The Black Bar Mitzvah Mixtape:
 • 01 Intro
 • 02 Don’t Like
 • 03 Mercy [ft. Rockie Fresh]
 • 04 Us [ft. Drake and Lil Reese]
 • 05 Rosenberg Skit
 • 06 Birthday [ft. Diddy]
 • 07 Burn
 • 08 Clique [ft. Gunplay and Rockie Fresh]
 • 09 911 [ft. 2 Chainz]
 • 10 No Worries
 • 11 Thumbin’
 • 12 Presidential (Remix) [ft. Pharrell]
 • 13 Bands [ft. Whole Slab]
 • 14 Gone to the Moon
 • 15 Itchin’
 • 16 Ice Cold [ft. Omarion]
 • 17 Bible on the Dash
 • 18 Young ‘n’ Gettin It
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!