Wednesday, October 3, 2012

HUYU NDO DALLAS WA WOLPER AKILA BATA NA VIMWANA WENGINE....POLE WOLPER


Ikiwa  ni  siku chache  zimepita  tangu  Wolper  na Dallas  wapigane  chini, tayari  picha  za  Dalla  akila  bata  na  Warembo  wengine  zimeanza  kusambaa  mitadaoni.......

Haya  ndo matunda ya mapenzi  ya PESA na MAGAZETI.....Mwisho  wa  siku  ni kudhalilika  na  kuaibika.....

Taarifa zinadai  kuwa  Wolper  amekwisha  nyang'anywa yale magari ya  kifahari alokuwa  akitanua nayo....... 

Poleni sana  dada zetu mnaodanganyika  na pesa.


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!