Saturday, October 13, 2012

JAY-Z AIPA SHAVU TANZANIA KWENYE NGOMA YAKE


Kama utakuwa umeshawahi kusikia au hukuwahi basi hii ni tyme yako ya kuweza kusikiliza single ya Shawn Corey Carter alias Jay – Z kwa jina la “Oh My God” ambapo kwenye verse ya tatu ameweza kuitaja nchini ya Tanzania.
Hii ni single yake toka kwenye album yake inayokwenda kwa jina la Kingdom Come aliyoitoa mwishoni mwa mwaka 2006 ikiwa imetengenezwa na Producer Just Blaze.
Hii hapa ndio verse ya tatu ya Jay-Z alipoitaja Tanzania kwenye huu wimbo wa “Oh My God“:
[Verse Three]
Now these baby ballers toy rappers
Calling out my name to bring the boy backwards

Shooting air balls at the basket

What you call money I paid more in taxes

I got crowned King down in Africa

Down in Nigeria do you have any idea

Sold out shows in Seoul Korea

Jo-berg, Dublin, Tanzania

Lunch with Mandela, dinner with Cavalli

Still got time to give water out to everybody

Everybody fall back

Y’all rapping I’m reenacting

CNN you see it’s accurate

ESPN see me in action

Monday nights when the half ends

When you ten years in holla back then
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!