Sunday, October 28, 2012

KIKONGWE AKATWA NYETI ZAKE NA WATU WASIOJULIKANA HUKO GONGO LA MBOTO


MAAJABU YA DUNIA HUYU NI MZEE MNAMBA MKAZI WA GONGO LA MBOTO  MWISHO WA LAMI ILALA JIJINI DAR ES SALAAM TANZANIA, AMEKUMBWA NA BALAA LA AINA YAKE BAADA YA KUKATWA NYETI {KORODANI} ZAKE NA WATU WASIYO JULIKANA AKIWA AMELALA NYUMBANI KWAKE.

KWA MJIBU WA MAELEZO YAKE, HAJUI ALIEMFANYIA HIVYO NI NANI? KWAKUWA HATA MILANGO HAIKUFUNGULIWA WALA HAKUSIKIA MAUMIVU YOYOTE JAPOKUWA WATOTO WAKE WALIMKUTA AKIWA AMEPOTEZA FAHAMU, KUTOKANA NA DAMU NYINGI ZILIZOMWAGIKA.

HATA HIVYO MZEE MNAMBA AMBAYE NI MSITAAFU WA ILIYOKUWA JUMUIA YA AFRICA MASHARIKI, ANASEMA HILO NI PIGO LAKE LA PILI BAADA YA KUPATA UPOFU WA KUTOKUONA KATIKA MAZINGIRA TATA, ALIKUWA AKIUZA SAMAKI GHAFLA ALIHISI UPEPO MACHONI ALIPOFUMBA NA KUFUMBUA MACHO YAKAWA HAYAONI TENA HEBU MSIKILEZE KWENYE HIYO HAPO JUU ALIPOFANYA MAZUNGUMUZO NA ANTONY JOSEPH


CHANZO: GUMZO LA JIJI
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!