Sunday, October 28, 2012

"NATAKA KULEWA" YA DIAMOND ITAKUWA HEWANI KESHO


Diamond na Raqey wakichagua picha ya kutumia kwenye cover ya wimbo wake mpya
Baada ya miezi kadhaa ya ukimya bila track mpya hewani hatimaye staa wa ‘Mawazo’ Diamond Platnumz kesho anatarajia kuachia wimbo wake mpya.

Ngoma hiyo ameipa jina la ‘Nataka Kulewa’ ambayo imefanywa na producer wa AM Records, Manecky.
Kupitia website yake, Diamond ameshare kwa mashabiki wake picha za utengenezaji wa cover ya ngoma hiyo uliosiomiwa na Raqey Mohamed wa I-View Media kampuni ambayo inamsimamia.

Kuhusu mipango ya video aliyoifanyia usaili wa models wiki kadhaa zilizopita Raqey amesema bado wanashughulikia permit na hivi karibuni alikuwa Dubai kwaajili ya kuweka mambo sawa.

Hizi ni baadhi ya picha hizo.
Diamond na Raqey wakichagua picha ya kutumia kwenye cover ya wimbo wake mpyaRaqey na Martin KadindaRaqey na wengine wakiangalia picha zilizopigwaDiamond, Martin na wengine wakitathmini picha zilizopigwaCrew ya I-View MediaDiamond akijiandaa kwa photoshootMartin na Diamond kwenye poziIMG_0030IMG_0041IMG_0070IMG_0078IMG_0079
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!