Thursday, October 4, 2012

"SUALA LA KUOA NA KUDUMU N A MWANAMKE LIMEKUWA NI MTIHANI KWANGU"...MR. CHUZ


STAA wa tamthiliya iliyorudi upya ya Jumba la Dhahabu, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’ amefunguka kuwa bado hajapata mke wa kuoa.

 Chuz ambaye ni Mkurugenzi wa Tuesday Entertainment Ltd aliiambia mpekuzi  kuwa suala la kuoa na kudumu na mwanamke ni mtihani hivyo kila akitaka kuoa mambo yanakuwa ndivyo sivyo na matokeo yake kukumbwa na kashfa
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!