Friday, October 5, 2012

"SAKATA LA PICHA ZA UTUPU " .....WIZARA HUSIKA INAHAKI YA KULAUMIWA

 Sakata  la  picha  tupu  bado  linazidi  kuwatafuna  wanawake wenye  tamaa  ya pesa........

Siku  zote tumekuwa  tukiwaandama bongo  movies.Ukweli  umebainika  kuwa  hata watu  wa  kawaida  nao  ni wadau  wakuu wa picha hizo.........

Naamini  watu  wa Arusha maeneo ya New Arusha  Star watakuwa wanamfahamu  vizuri huyu mtu  maana ni mhudumu  anayetumia  mwanya wa  kazi yake  kuwadaka  wanaume......
Naamini  viongozi wetu wanajionea wenyewe  haya mambo.

Pamoja  na  risk  zote  za kudiriki kuuanika ukweli  wa  mambo lakini  bado hatuoni hatua  zozote za  kisheria  zikichukuliwa  dhidi ya hawa  watu.......

Nadhani  huu  ni wakati  mwafaka wa  kuzielekeza  lawama  zetu kwa  wizara  husika.....
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!