Thursday, October 18, 2012

LINAH MHAYA AYAAGA MASHINDAO YA EBSS


Madam Ritha akitoa maoni yake juu ya mshiriki aliyekua juu ya jukwaa

Jumapili ya tarehe 15, October 2012 mshiriki mmoja wa EBSS, Linias Mhaya aliyaaga mashindano na hivyo kubaki washiriki tisa tu.

Washiriki tisa waliobakia wamegawanywa katika makundi matatu na kila Jaji kapewa washiriki watatu watakaokuwa chini ya usimamizi wake, majaji wanatakiwa kuwapa
maelekezo kuhusu kuimba na kuwachagulia nyimbo za kuimba.

Godfrey Kato akiingia katika jukwaa
Husna Nassor akiimba jukwaani

Menynah Atick akiimba mbele ya majaji na watazamaji
Salma Yusuph akipiga gitaa
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!