Saturday, October 13, 2012

MCHUANO MKALI WA DIAMOND, PROFESA J NA JAY DEE NDANI YA KISIMA AWARDSMajina ya wasanii watakaowania tuzo za Kisima za mwaka 2012 nchini Kenya yametoka. Katika kipengele cha ‘East African Recognition’ Profesa Jay, Diamond, Lady Jaydee na TMK (hawajaandika ni ipi) wametajwa kuwania tuzo hizo.
Wasanii hao wa Tanzania watachuana na wasanii wengine wa Uganda akiwemo Jackie Chandiru, Dynamiq na Chameleone waliotajwa pia kwenye kipengele hicho.

Hii ndio orodha ya wasanii wa Kenya waliotajwa kuwania vipengele mbalimbali kwenye tuzo hizo.


Artiste / Group of the Year:
Octopizzo
Daddy Owen
Nameless
Camp Mulla
Nonini

Video of the Year Category:
Nonini – Colour Kwa Face
Nameless – Coming Home
Daddy Owen – Mbona
Juliani – Exponential Potential
Rabbit – Swahili Shakespeare

Collaboration of the Year:
Alicio / Juliana
P-Unit / Sauti Sol
Daddy Owen / Denno
Longombas / Mr. Vegas
Keko / Madtraxx

Boomba Artiste Category:
Avril
Amileena
DNA
GrandPa Family
Habida
Prince Davis
Q Tasi
Mejja
Size 8

Hip Hop Category:
Nonini
Juliani
Octopizzo

Gospel Artiste of the Year:
Daddy Owen
Eko Dydda
Eunice Njeri
Mastar Piece
Emmy Kosgei
Willy Paul

Ragga/Reggae Category:

Longombas
Fireson
Kevo Yout
Wyre da Lovechild
Daddy Owen

Urban Artiste / Group Category:
Just a Band / Nonini
Camp Mulla
Boneless
Muthoni the Drummer Queen
Yvonne Darko
Nariki

Fusion Artistes Category:
Wahu
Anto Neosoul
Dan ‘Chizi’ Aceda
Sanaipei
Juliet
Judith Bwire

Benga Artiste of the Year:
Judith Bwire
Kamande wa Kioi
Wa Kahalf
Otieno Aloka
Wa Othaya
Vincent Ongidi

Upcoming Artiste of the Year:
Anto Neosoul
Camp Mulla
Nariki
Xtatic
Yvonne Darko
Alicio
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!