Saturday, October 6, 2012

MILOVAN ANASWA AKIGONGEA NAMBA ZA SIMU KWA JOKATE


Kocha mkuu wa simba, Milovan alinaswa akigongea namba za simu kwa miss tanzania namba 2,2006, Jokate Mwegelo.....

Tukio hilo lilishuhudiwa na mwandishi wetu octoba tatu mwaka huu ndani ya uwanja wa taifa jijini dar muda mfupi baada ya mechi ya simba na yanga kumalizika......

Milovan alionekana akiomba namba za simu za mrembo huyo mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyohusisha mechi hiyo......

Simba  ndo ilitangulia  kufunga na baadae yanga wakasawazisha
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!